Nenda Duka la dawa nunua indomethacin caps alafu weka kwenye mishikaki au samakina mm natafuta mweny kujua dawa moja kali kwa panya achana na dawa za 2000 hiz inayopatikana mcity au kwingineko
Hiyo mitego nimeweka kote, sehem za kutupa takataka godown, kwenye connection ya bomba za dawasa na sehemu zingine zilizojificha ambapo ndio makazi yaoIla mkuu jitahidi uweke mazigira vizuri pia mana hayo mazingira walionaswa ni rough sana.