Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
nimeona matangazo yakihamasisha wafuasi na wanachama wa chadema wakihamasishwa kukichangia chama katika kuendesha kampeni siku ya ijumaa saa 2 hadi 4, wakitafuta shilingi shilingi za walalahoi, sasa nakubaliana na maneno ya Nape kuwa wafadhili wa chadema wameingia mitini baada ya kuona ukombozi ni ndoto kupatikana kupitia chama hicho, ni kweli sasa chadema wameishiwa pesa za kumalizia kampeni za arumeru na ushindi kuwa ndoto kwa chama hicho.
Hapa waume zako walikuwa wanaomba nini? aua wafadhili walikimbia?

this is my favourite post for today
Uchangiaji wa gharama za kampeni kuombwa wananchi ni jambo la kawaida, Obama alishaanza toka mwakajana kuomba michango toka kwa kila raia kuchangia kampeni za uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, sembuse Tanzania?
CCM inaiba pesa za walipa kodi ni hivyo kujifanya ndi chama tajiri pamoja na kujimilikisha hazina za taifa
Hapa waume zako walikuwa wanaomba nini? aua wafadhili walikimbia?
RIP CUF....sisi wananchi tulikupenda sana,lakini Mungu amekupenda zaidi na akaamua kukuita kimoja.nimeona matangazo yakihamasisha wafuasi na wanachama wa chadema wakihamasishwa kukichangia chama katika kuendesha kampeni siku ya ijumaa saa 2 hadi 4, wakitafuta shilingi shilingi za walalahoi, sasa nakubaliana na maneno ya Nape kuwa wafadhili wa chadema wameingia mitini baada ya kuona ukombozi ni ndoto kupatikana kupitia chama hicho, ni kweli sasa chadema wameishiwa pesa za kumalizia kampeni za arumeru na ushindi kuwa ndoto kwa chama hicho.
Nape alisema katika mkutano wa udiwani kata ya chang'ombe kuwa viongozi wa chadema wameanza kuondoka arumeru baada ya kuishiwa pesa za kampeni, baada ya wafadhili kutoa nje, na ni majuzi tu slaa alikuwa nje, sabodo amekaa kimya na uelewe ndugu katika vyama hakuna siri isiyovuja.
wafadhli unawajua wewe.cdm ckama ccm inayo tegemea michango ya matajiri,chadema nichawananchi hivyo kitachangiwa na wananchi wenyewe.