elite wa Geita
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 157
- 190
Kuna kautafiti binafsi naendelea kukafanya hapa. Kanahusu kwanini wanawake wengi wanapenda sana bodaboda. Majibu nayoendelea kuyapata kutoka kwa madereva wa bodaboda yananipa ukakasi kidogo. Mmmh kweli bodaboda mna siri nzito ambazo siku mkija kuziibua ndoa na mahusiano ya watu yatavunjika kwakweli.
Ngoja niendelee kutafiti nikikamilisha hii reserch nitapresent findings.
Ngoja niendelee kutafiti nikikamilisha hii reserch nitapresent findings.