Waendesha bodaboda wa Dodoma waenda kwa Lowassa

safi sana bodaboda! ngosha anabomoa nyumba za wanyonge na kumbambana na maskini badala ya umaskini!
maigizo mengi ya kutumbua majipu ili hali uchumi unazidi kuwa mgumu sana kwa wanachi wakawaida
viva lowasa i salute you.
 
Hivi unaona sawa watu wakae mabondeni wakati viwanja chanika na kisarawe mpaka kwa mkopo unapata
 
Huo ndio mtaji mkuu wa mzee,watu wenye uwezo mdogo kuchanganua mambo

I see, wewe ungekuwa na uwezo mzuri na mkubwa wa kufikiri usingeandika hiki ulichoandika!!

Yaonesha una jeuri na dharau sana ndugu yangu kwa sisi tunaoendesha maisha yetu kwa kazi ya kubeba abiria kwa pikpik maarufu kama bodaboda!

Sina hakika wewe unafanya kazi gani lakini nililo na uhakika nalo ni hili, kwamba, ni lazima utakuwa ulishapata huduma ya usafiri wa bodaboda kwenda mahali flani hata kama una miliki Escudo au Rav4 yako!

Ushauri wa bure kwako;

Heshimu kazi ya mwenzio kwa
sababu ya kwako haimsaidii anayefanya kazi ya bodaboda kumlisha yeye na familia yake!!
 
Kazi ya kupenya mbele ya lori linalokuja kwa kasi akili zenu si timamu mnawatia watu ulemavu kwa akili zenu ndogo,unabodaboda unajaribu kuipita vx ghafla inakuja dala dala,hizo akili za nyani,ndio mana mnarubuniwa kirahisi,mie langu dala dala kama hakuna jua napiga teke tu
 
Back
Top Bottom