Waenda mahakamani kuomba kufutwa kwa ukomo wa Urais. Wadai ukomo unazuia maendeleo. Ni mkakati wa kufanya urais usio na mwisho Tanzania

Ni jambo jema maana kazi ya mahakama Ni kutoa haki. Mi najiandaa kupeleka yangu kuhoji uhalali wa ccm pekee kuruhusiwa kufanya mikutano ilihali wengine Ni marufuku.

Hiyo labda upeleke kwenye mahakama huru kama ile inayosimamia uhalali au uharamu wa kushikiliwa ile dreamliner.
 
Una kichaa wewe, leta evidence to back up your claim. Mm nakupa mbili kwa kuanzia, awamu hii kumejengwa vitu vya afya vingi kupita awamu zote zilopita, km za lami likewise.
Wewe utakuwa Ni mpuuzi Fulani hivi. Hii ndio awamu maiti zimeokotwa kwenye viroba kwa mamia kuliko awamu zote. Ndio awamu watu wametekwa na kupotea wasijulikane waliko, hata wengine kukutwa wananing'inia kwenye miti wakiwa wafu kuliko awamu yoyote iliyotangulia. Ni awamu iliyosusiwa kimataifa kuliko awamu zote zilizopita.
Awamu ya watu waovu!!!
 
Sinaga muda wa kubishana na nyumbu, hizo maiti, kuna ndugu zao walishtaki, maiti ni ngapi na ni wangapi walopotea
 
Safi Sana jpm tuongoze milele tulisulubiwa Sana msalabani na wajanja waliila nchi bila huruma.piga miaka 20 upumzike utakuwa umeshaweka misingi
 
Usalama wa Taifa upi TISS?

Ambao wanafanya kazi chini Yake...

Tiss ni Taasisi Ya Fisiemu..So sahau unachokiwaza
Mkuu natamani ningekona nokupe hingera kwa mdomo wangu, ni mambo ya kusikitisha sana, kwa bahati mbaya nchi ina puppet wengi mno, wanaume wanajipendekeza kwa wanaume wenzao mpaka inatia kinyaa.

Hivi tusingekuwa na utaratibu wa kuachiana madaraka huyo wanayemwona "mzuri' kwa sasa angepatikanaje? upumbavu unawasumbua watu.

Kama ulivyosema hata mi napata mashaka kwamba anaweza kuwa pandikizi la kuipeleka nchi kwenye machafuko. Ni wakati wa vyombo vya usalama wa taifa kumuangalia huyu mtu kwa jicho la tatu maana nasikia walinzi wake wa karibu si raia wa nchi hii.
 
Haipo sababu yakuwa na ukomo wa uraisi ni ujinga uliopitiliza China tunawazidi nini mbona Mambo yanaenda PW tu! Jpm safiiiiiiiiiiiiiii! Usichoke mzee baba piga kazi tuna imani na wewe! Tunawajinga wengi wanaopinga maendeleo sisi tunajitambua tunajua unachokifanya.hata darasani wote siyo werevu wamo wajinga wengi
 
Kujipendekeza tu na maono mafupi, pasingekuwepo ukomo huyo jpm angeonekanaje? Ukomo wa kufikiri umeishia hapo? kuna watu wazuri tena wenye akili na kufuata sheria za nchi tulizojiwekea. Haiwezekani tuendelee na huyu mvunja katiba miaka nenda rudi, unakaribisha mapinduzi yasiyo na lazima. Tunaweza kumvumilia miaka kumi lakini akijiongezea muda nitakuwa a kwanza kuingia msituni!! shenzi kabisa!!
 
Haipo sababu yakuwa na ukomo wa uraisi ni ujinga uliopitiliza China tunawazidi nini mbona Mambo yanaenda PW tu! Jpm safiiiiiiiiiiiiiii! Usichoke mzee baba piga kazi tuna imani na wewe! Tunawajinga wengi wanaopinga maendeleo sisi tunajitambua tunajua unachokifanya.hata darasani wote siyo werevu wamo wajinga wengi

Kwa nini uitaje china ukaacha USA, UK., Finland, Denmark ..........., mnatafuta pa kujishikiza
 
Ni jambo jema maana kazi ya mahakama Ni kutoa haki. Mi najiandaa kupeleka yangu kuhoji uhalali wa ccm pekee kuruhusiwa kufanya mikutano ilihali wengine Ni marufuku.
Unasubiri nini umekaa kimya na huku dhamira yako imeshakwambia hili si sawa??!!
 
Namfananisha na rais waziri wa ujenzi na miundombinu lkn title nzuri ya kumpa nakosa......labda tumwite Rais waziri chini ya ofisi ya Rais JK. Asilimia kubwa ya kazi anazofanya ni utekelezaji wa mipango ya maendeleo iliyosukwa either na serikali zilizopita (haswa Mkapa na Jk) au na wapinzani. Hutujaona ubunifu wake. Ule wa kujenga Cahto hauwezi ita ubunifu.
 
Naunga mkono hoja kwa shingo upande. Awamu nyingine atakuja Rais wa hovyo naye atajifanya anaweza kama JPM, tutakuwa tumeliwa.
Usijali. Haitakuja kuwa hivyo, hatutaliwa. Hili likifanikiwa, atatawala mpaka afe. Na atakua ameshamuandaa yule kijana wake kuchukua madaraka, hivyo ataendeleza pale pale alipoachia baba yake. Umeona, hapo? Hakuna tatizo kabisa. Usiwe na hofu.
 
Haipo sababu yakuwa na ukomo wa uraisi ni ujinga uliopitiliza China tunawazidi nini mbona Mambo yanaenda PW tu! Jpm safiiiiiiiiiiiiiii! Usichoke mzee baba piga kazi tuna imani na wewe! Tunawajinga wengi wanaopinga maendeleo sisi tunajitambua tunajua unachokifanya.hata darasani wote siyo werevu wamo wajinga wengi
Aaah kweli ndiyo maana mtu anafundishwa kwa lugha ya Kiingereza alafu wenzie wanamudu kuongea hiyo lugha ila yeye anakwama sana na kushindwa. Ahsante mkuu
 
Ni jambo jema maana kazi ya mahakama Ni kutoa haki. Mi najiandaa kupeleka yangu kuhoji uhalali wa ccm pekee kuruhusiwa kufanya mikutano ilihali wengine Ni marufuku.
Asante mkuu, namimi najiadaa kupeleka hoja yangu bona waliompiga lissu risasi bado wako raia
 
Back
Top Bottom