Waekezaji watembelea jiji la Arusha

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
757
Reaction score
1,822
Jiji letu nimepokea ugeni mkubwa kutoka China mji wa BENXI,ambao ni group la wawekezaji wa sector ya viwanda ,Madini na Utalii.Baada ya mazungumzo ya muda marefu tulibadilisha Investor's Guide Books za miji hizi mbili.Pengine ni muda muafaka kwa wafanyabiashara kuchangamkia fursa hii adimu.Pia nimepata mwaliko wa kusafiri na wafanyabiashara 10 wa Arusha kufanya mazungumzo China mwezi Januari 2018.Walio tayari kuchukua fursa hii ,ofisi yetu ya uwekezaji jiji itaratibu safari. Xmass Njema
 
Hii taarifa sio mzuri kwa yule baba na vijakazi wke kutwa kusema uwongo,toka 2015 dec mpka 2017 dec eti wamejenga viwanda 3000 [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…