Marcy You made my day rafiki angu lol... ngoja nimalizie na kucheka tu hahahahhahaUmeanza na kicheko na kumaliza na kicheko hivyo inaashiria nilichosema ni sahihi ila umeamu kupindisha maneno kumlinda
Eti hujawahi ona element hizo hao ndio moto wa kifuu🤣🤣🤣🤣
Washawasha ana umuhimu gani kwa mfano?!Wadudu: Majitu Madogo ya Sayari Yetu!"
Wadudu ndio viumbe wa aina mbalimbali zaidi Duniani, wanaofanya zaidi ya 80% ya spishi zote za wanyama wanaojulikana! Kutoka kwa mbawa zinazong'aa za vipepeo hadi asili ya mchwa, wenye majukumu muhimu katika ulimwengu wetu.
Jina la kisayansi: Insecta
Sehemu za mwili: kichwa, kifua, tumbo
Miguu: minne na zaidi
Antena: Ndiyo
Mabawa: Wengi wana 2 au 4
Majukumu katika Asili: Uchavushaji, mtengano, udhibiti wa wadudu, na chakula kwa wanyama wengine
Ukweli wa Kuvutia: Kuna wadudu wengi zaidi kuliko wanadamu kwa sababu kuna wadudu zaidi ya milion kwa kila binadamuView attachment 3300322 mmoja!
Wapende au uwaogope, wadudu ni muhimu kwa maisha duniani.
kwamba mjusi ni nani!?Mjusi ni mdudu?shule mlienda kusomea ujinga??
Reptilia sio insectkwamba mjusi ni nani!?
asante sana! sasa nijuze reptilia kiswahili chake ni nini....na mdudu kiingereza chake ni nini!?Reptilia sio insect
Mjusi ni mjusi , mdudu ni mduduasante sana! sasa nijuze reptilia kiswahili chake ni nini....na mdudu kiingereza chake ni nini!?
lakini pia nitafsirie neno MDUDU kwa kiswahili😎
sio tena Mjusi ni Reptilia..!?😂Mjusi ni mjusi , mdudu ni mdudu
Kumbe! Nitawaletea mrejeshoUnaweza kufa ila liking'ata zakari ni bonge la viagra😂
Yaani kila sehemu wahuni hawakosi. Tazama hadi mkononi tayari Kuna linjemba limeshaukamatilia mzigo