Nionavyo mimi:
1.
Kutembea= kujongea kwa kutumia miguu 2 au 4 kwa utaratibu wa kubadilisha miguu upande wa kulia na wa kushoto.
2. Kutambaa= kujongea kwa kujivuta au kuburuza tumbo(Abdomen) kuelekea mbele kichwa kikiongoza.
3. Kuruka = Kujongea kwa kupita hewani .