Kutambaa ni kujongea kwa miguu miwili au zaidi huku kiwiliwili kikiwa karibu sana na ardhi au uso wa kitu.
Hivyo wadudu wanatambaa maana viwiliwili vyao vipo karibu na ardhi.
Viumbe wengine wanaotambaa ni mamba, mijusi, Kobe, kasa, vitoto vya binadamu, tandu n.k