Wadudu kwenye ubongo wa mbuzi

usatz

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
96
Reaction score
45
Leo nimenunua Kichwa cha Mbuzi Vingunguti, ile kukipasua na kuanza kuchemsha ghafla naona wadudu..

Hii ikoje wakubwa,
Kama ni kawaida na binadamu pia ubongo unawadudu
 
Umeuziwa cha kondoo mkuu ndo huwa kuna wadudu

Napenda sana supu ya vichwa vya mbuzi
Nami zamani nilidhani wamo kwenye vichwa vya kondoo tu kumbe na kwenye vichwa vya mbuzi wamo pia. Vichwa vingine unaweza kuwakuta wanne, cha kujiuliza huingiaje na hufanya nini ndani ya vichwa hivyo ila hawakai ndani ya ubongo bali wapo pembe zinapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…