Kudaaaaaadek..... Ningalikua mim yan makofi heavy yashatua vichwani mwao kurestore settings za hivyo vichwa vinavojifanya havielewiHabari wakuu,
Hivi mtt wa kiume hadeki choo au bafu? kuna ubaya mtt wa kiume akijifundisha kazi ndogo ndogo za nyumban eti?. Huyu mdg wangu wa kiume yupo likizo, kutwaa anashika simu ana groups za whatsapp zaid 20, yes zaid ya 20 yani namshangaa ad nachoka kushangaa. Ukimuelekeza kitu yy haoni tabu kukujb sitaki au fanya mwenyewe yan ana kejeli kama zote tu.
Huyu wa kike sasa, kamaliza chuo juzi karud na mimbaa, ss jmn mwenye mimba hawezi hata kuosha vyomba? Vikaz vdg dg kufanya haruhusiwi?. Nikimuelekeza nae utasikia (hujui uzito nnaousikia, omba Mungu akujalie asipokujalia basi hautoexperience mimba) arghh! nmewachoka . Mm sishindi na wao, naenda mishe mishe narud usiku na nikirud nalala tu sitak kelele na mtu, lkn ukirudi unakuta hamna jipyaa, nyumba chafu na tangu arudi huyu wa kiume ndo imezidii kwasabb yy ndo anashndaa home muda mwingi, huyu wa kiume yupo miguu juu kashika simu (na nmempa mimi hapa nawaza kuchukua simu yangu tu) huyu wa kike nae yupo busy na Sultan, ataamka Mama we flani tupikie ugali......... M nikiamka asbh hufagia na kuosha vyombo vya usiku (nafanya kupunguza kaz kdg maana huyu mjamzito eti hajiwez so kumuachia kazi bimkubwa alone naona sio vzr). Ss haya mambo Mpaka lini? Kama leo chakula cha night ugali na mlenda ndo unapikwa ss hivi, tena Mama umekuja kuniamsha nipike, sio kwamba nimegoma nmejiulza tangu saa12 ad sasa hv kimefanyika nini kikubwaaa kias mkose kula mapema mle sasa hv au ndo housegal nilkua nasubiriwa.............???Najua Mama una mahaba na hawa wanao lkn mimi ni dada yao, silazimishi waniheshimu but Respect ni Muhimu!
Endelea kuwadekeza tu, then huyo mama na hao wahusika wapo humu JF au ??Habari wakuu,

Una akili Sana aiseeeee! Endelea kuwakumbusha siku moja watakukumbukaHabari wakuu,

Wacha uji.nga😂 Dogo mtoto wako miaka 18 ni mwanaume?Japo sishauri tabia yake ya kushinda na simu kutwa, ila swala la mwanaume kudeki chooni au kuosha vyombo wakati wanawake wapo siafiki!
Mwanaume ni mwanaume tu hata awe na umri wa miaka 5
Wacha uji.nga[emoji23] Dogo mtoto wako miaka 18 ni mwanaume?
Mtoto gani huyo hajui kupika? Akiishi mwenyewe itakuwaje?
Ila watu wana Raha unabeba mimba inaenda kuilelea kwenu? Mama alishasema kati yetu MTU akibeba mimba kuilea ni huko huko.
Sasa huyo mpuuzi hata kupika hawezi soon atazalia hapo, huyo atafua mikojo ya mwanae? Huu upuuzi ni malezi mabovu
Mnyang'anye simu yako, uza, lipia chumba, omba godoro kwa ndugu, potea. Kwani hizo mishe huingizi pesa? Kama huingizi ni yale yale anayeshinda nyumbani nawewe unayezurura. Kama unarudi na chochote uza simu upate hata cha 15,000/Je alipokuwa hana mimba alikuwa hvyo hvyo.???
Huyo wa kiume dawa ni ndogo sana, Chukua simu yako then kitendo cha yeye hadi apate simu kwa hela yake atakuwa amesha nyooka na kujifunza kitu..
BTW acha kulalamika, utakuja kuolewa halafu mmeo alete ukoo mzima na wewe ndio unapiga kazi home (inatokeaga likizo ndgu wote wakaja kwenu)
Habari wakuu,
Hivi mtt wa kiume hadeki choo au bafu? kuna ubaya mtt wa kiume akijifundisha kazi ndogo ndogo za nyumban eti?. Huyu mdg wangu wa kiume yupo likizo, kutwaa anashika simu ana groups za whatsapp zaid 20, yes zaid ya 20 yani namshangaa ad nachoka kushangaa. Ukimuelekeza kitu yy haoni tabu kukujb sitaki au fanya mwenyewe yan ana kejeli kama zote tu.
Huyu wa kike sasa, kamaliza chuo juzi karud na mimbaa, ss jmn mwenye mimba hawezi hata kuosha vyomba? Vikaz vdg dg kufanya haruhusiwi?. Nikimuelekeza nae utasikia (hujui uzito nnaousikia, omba Mungu akujalie asipokujalia basi hautoexperience mimba) arghh! nmewachoka . Mm sishindi na wao, naenda mishe mishe narud usiku na nikirud nalala tu sitak kelele na mtu, lkn ukirudi unakuta hamna jipyaa, nyumba chafu na tangu arudi huyu wa kiume ndo imezidii kwasabb yy ndo anashndaa home muda mwingi, huyu wa kiume yupo miguu juu kashika simu (na nmempa mimi hapa nawaza kuchukua simu yangu tu) huyu wa kike nae yupo busy na Sultan, ataamka Mama we flani tupikie ugali......... M nikiamka asbh hufagia na kuosha vyombo vya usiku (nafanya kupunguza kaz kdg maana huyu mjamzito eti hajiwez so kumuachia kazi bimkubwa alone naona sio vzr). Ss haya mambo Mpaka lini? Kama leo chakula cha night ugali na mlenda ndo unapikwa ss hivi, tena Mama umekuja kuniamsha nipike, sio kwamba nimegoma nmejiulza tangu saa12 ad sasa hv kimefanyika nini kikubwaaa kias mkose kula mapema mle sasa hv au ndo housegal nilkua nasubiriwa.............???Najua Mama una mahaba na hawa wanao lkn mimi ni dada yao, silazimishi waniheshimu but Respect ni Muhimu!
Pole sana ukubwa shida na mama yenu kawalea na anawalea wadogo zako vibaya.Habari wakuu,

Kitumbo lazima kukilelea huko kuko sio pale nyumbani.hope umeelewamama yako anasema tu ukipata kitumbo atalia baadae anaanza kushelekea mjukuu anakuja wa mama nawafahamu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni dada
Asante, bado sanaaaa!njoo nikupe mimba na wewe ili wote muwe wavivu
nashkuru umensaidia, na hii nmeiona kutoka kwa rafiki wa mama yangu, nilienda kwake nkakuta mumewe anafua furushii kubwa za nguo na mtt wao wa kiume (umri sawa na mdg wangu) akiwa anaosha vyombo huku chungu kipo jikoni. Vitu vingne ni vya kawaida na vyema kujifunza kwa faida ya baadae tu maisha yanabadilika kila leo.mkuu huo mfumo dume kizamani, mie hadi namaliza kidato cha 6 naonsha vyombo, napika, nadeki na kufua. sio mimi tu familia nzima na hapo dada wa kazi yupo wakati mwingine anaona tv ww unafanya kazi.
bi mkubwa anakwambia :huyu dada nimemleta anisaidia kazi mimi sio nyie" ratiba zenu ziko pale pale.
leo naona faida yake kazi zote twende, sema hasara yake pia ipo naona hakuna wa kufanya kazi kama navyo taka mimi hata kufuliwa huwa staki
Si uhame lazima kukaa hapo ,kanichekesha eti huo mzigo alionao [emoji23][emoji23]Sipendelei kelele, tupo wa4 tu hii nyumba lkn ukiongea majibu yake ni kama tupo Pub .....
Umesema kweli kabisa kuna nyumba watoto wa kiume ni kama wafalme,hakuna kushika kazi yoyotee sio vizuri kabisamkuu huo mfumo dume kizamani, mie hadi namaliza kidato cha 6 naonsha vyombo, napika, nadeki na kufua. sio mimi tu familia nzima na hapo dada wa kazi yupo wakati mwingine anaona tv ww unafanya kazi.
bi mkubwa anakwambia :huyu dada nimemleta anisaidia kazi mimi sio nyie" ratiba zenu ziko pale pale.
leo naona faida yake kazi zote twende, sema hasara yake pia ipo naona hakuna wa kufanya kazi kama navyo taka mimi hata kufuliwa huwa staki
Mkuu, kwani bi mkubwa yupo humuHabari wakuu,