linaukweli sana manake madeu wa huku uswahilini wanaume wetu hawana mishahara mikubwa ya kufikia tarehe 30 na wakipata hela wanahonga wa njee bora kila siku apate buku tano ila sio 150,000 kwa mwezi
mi nadhani mademu wote, wauswazi na wakishua wanapenda mtu mwenye constant flow of money, Nakubali kwa hiyo mishahara hawawezi kuwapenda sababu watakuwa watu wa sound kila siku mpaka mwisho wa mwezi saluni wataendaje