Wademu wa uswazi hawapendi wanaume wa mshahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wademu wa uswazi hawapendi wanaume wa mshahara

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kansije, Feb 22, 2011.

 1. kansije

  kansije Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa nini mademu wa uswazi wanapenda wanaume wa kipato cha kila siku na sio wale wa mshahara? Naomba kuwasilisha hoja
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Unauhakika mkuu, mimi sidhani kama hili linaukweli..
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  linaukweli sana manake madeu wa huku uswahilini wanaume wetu hawana mishahara mikubwa ya kufikia tarehe 30 na wakipata hela wanahonga wa njee bora kila siku apate buku tano ila sio 150,000 kwa mwezi
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mi nadhani mademu wote, wauswazi na wakishua wanapenda mtu mwenye constant flow of money, Nakubali kwa hiyo mishahara hawawezi kuwapenda sababu watakuwa watu wa sound kila siku mpaka mwisho wa mwezi saluni wataendaje
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ndo kina nani hao?? Nifahamishe then nitarudi
   
 6. kansije

  kansije Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  marytina huku kwetu watu wenye uhakika wa buku tano kila wachache sana, siku za kwanza utapata buku tano zinazofuata buku mbili au tatu
   
Loading...