Wadau

Mwanandani

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
195
Reaction score
44
Nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kwangu na kwa chama changu CDM ya kuwa nitatoa mawazo yenye mustakbali mwema,nakushiriki kikamilifu katika uchangiaji wa mada na hoja ee mungu nisaidie
 
dah, kama vile ni kiapo cha kujiunga na jf, karibu sana mpendwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…