Wakuu nisaidieni nina mdogo wangu hayupo kwenye orodha ya ambao wanatakiwa kuapply kwa mara ya pili na nikicheck profile yake iko hivi SELECTION IS ON PROGRESS, you will be notified when it is done. Ni kawaida hii hali???
hata ya mke wangu nayo ipo hivyohivyo lakini mwanzoni kulikuwa na button inayokupa opttion ya ku edit selection lakin saiv haipo,ndo hivyo pia kwa wengine?
mm ivo ivo naambiwa selection is on process bt kwa upande wa editing selection ipo vile vile hii imekaaje kwanini ikuwepo hii sehemu ya editing selection wakati dateline imeshapita na jina langu halimo katika waloambiwa wafanye tena maombi.