Wadau wapinga uwezekano wa Mtuhumiwa kujinyonga akiwa Mahabusu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
Wataka ukweli usemwe kwa yaliyomkuta ofisa wa polisi aliyekutwa amekufa ndani ya selo huko Mtwara .

Hoja yao inapata mashiko kwa sababu hakuna Mahabusu anayeruhusiwa kuingia na kifaa cha kujinyongea kwenye selo yoyote Tanzania , hii haijalishi Cheo alichonacho .

Kwahiyo Sarakasi zozote za kuhusiana na kifo cha huyo Polisi zinapaswa kuambatana na utetezi wa kishindo , huku utetezi huo ukipaswa kutujulisha kisa cha Marehemu huyo kuzikwa haraka sana mithili ya marehemu wa kipindupindu , Ebola au Corona .

WATANZANIA SIYO WAJINGA SANA - DR MAGUFULI

Nimekaa_polisi_zaidi_ya_mara_10_vituo_tofauti._Ni_ngumu_mtu_kujinyonga_lockup.Askari_mwenyewe_...jpg
 
Huyu afisa Greyson inasemekana alitoa mchongo mzima.

Wenzake wakasema isiwe tabu, RPC tutatulie kero!

RPC lazima aunganishwe, na fedha iliyoporwa toka kwa kijana aliyeuwawa ipatikane.

Follow the money,

Na uchunguzi hauwezi kuachiwa polisi, vyombo vingine viendeshe uchunguzi huu.

Haya ni mauaji ya watu wawili, wa pili akiwa huyo Afande Greyson.

Hii ni Zombe Part II, ma-star wote wakiwa polisi.
 
kwahiyo untaka kusema kauwawa? CHADEMA hamjawahikuwa na akili hata sku moja endeleeni na upuuzi wenu
Duuh kwa hiyo mtu akileta mada/hoja kufikiria nje ya boksi tayari ni Chadema...

Swali; wewe ulisikia wapi uwezekano wa mahabusu kujinyonga akiwa rumande?

Ulishapewa hayo maelezo ukaridhika? Kama NDIYO tushawishi... Kama HAPANA kwa nini usiungane na wenye maswali yao??
 
Huyu afisa Greyson inasemekana alitoa mchongo mzima.
Wenzake wakasema isiwe tabu, RPC tutatulie kero!!
RPC lazima aunganishwe, na fedha iliyoporwa toka kwa kijana aliyeuwawa ipatikane.
Follow the money,
Na uchunguzi hauwezi kuachiwa polisi, vyombo vingine viendeshe uchunguzi huu.
Haya ni mauaji ya watu wawili, wa pili akiwa huyo Afande Greyson.
Hii ni Zombe Part II, ma-star wote wakiwa polisi.
Na kuna movie nyingine ya wale wafanyabiashara watano wa kariakoo ambao inasemekana walikamatwa na polisi na hadi leo hawajulikani walipo...hili geshi basi tu
 
Back
Top Bottom