Wadau wa mpira wa miguu nchini tusiwe na ndimi mbili

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
tunaizisema sana simba na yanga kutoingiza kipato ili hali wanamashabiki nchi nzima kwa madai timu hizo zinapocheza mashabiki hulipa kiingilio ni kipato tosha kwa vilabu hivyo.
leo ligi ya tanzania imeingia kwenye ulimwengu wa kuoneshwa live na azamtv hapo mapato yameshuka sana kwa kuwa huku mitaani hamezuka mabanda mengi sana ya kuounesha hizo mechi.
leo sisi wenye ndimi mbili tunafurahia kuoneshwa mipira live na kudai eti vilabu vitafute wadhamini wengine.
tunaenda mwaka wa nne ukiondoa yanga na simba hivi vilabu vidogo vimepata wadhamini wengine zaidi ya vodacom na azamtv?
Ni afadhari azamtv mpira unapochezwa wasingeoneshwa live ingesaidia.
Yanga kwa kuwa inalalamikia sana kuoneshwa live azamtv inaikomesha kwa nguvu ya TFF kuoneshwa live mechi zake zootee.
leo hii TFF wakiulizwa kuhusu azamtv kuonesha tenda ilikuaje wanajiumauma tu hakuna jibu.
serikali bora ingilie kama kufungiwa bora tufungiwe potelea mbali kuliko upuuzi uliopo TFF
 
Mkuu huwezi ukapingana na teknolojia sasa hv, kupinga mpira kuoneshwa live ni sawa na kupinga ujenzi wa barabara za lami ili tuendelee kutumia za vumbi kama zamani.
 
Mkuu huwezi ukapingana na teknolojia sasa hv, kupinga mpira kuoneshwa live ni sawa na kupinga ujenzi wa barabara za lami ili tuendelee kutumia za vumbi kama zamani.
hujaisoma mada yangu viziri sikatai, live isiwe sehemu mpira unapochezwa
 
Back
Top Bottom