Wadau wa Marketing,sales, branding na designing tukutane hapa

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Habar wana jamii forum,watanzania wengi tunafanya biashara mbalimblai na wengine tumefika mbali hasa na kumiliki makampuni.Dhumuni kubwa la uzi huu ni kupeana elimu juu ya masuala tajwa hapo juu.Naamini jf inawatu mbalimbalimbali wenye elimu na ujuzi mkubwa wa masuala hayo.

Nakaribisha michango mbalimbali wadau
Karibuni saana
 
Back
Top Bottom