Naomba ushauri, Nahitaji kusoma coz za afya ila nikiangalia guide book iliopo kwenye web site ya NACTE inaonesha kwa levo ya diploma lazima FORM 4 upate C za bios, chem na phy. Mimi nilimaliza fom4 mwaka 2010 matokeo yang yalikua hiv Phy C, chem D, math B, bios D , english C.
Kwa matokeo hayo sina sifa za kusoma diploma za afya, according to NACTE guide book of 2015/2016.
Ila kwa bahati nilisomaga PCM baada ya kumaliza fom4 na matokeo yang ya advance yakawa hvi PHY D, CHEM E, MATH D (ACSEE 2014)
Kwa matokeo hyo ya advance nilikua na sifa ya kusoma elim ya juu
Nikapata chuo flani hvi (SEKOMU) "bachelor of education special need" inamaana tukifungua chuo saiv naingia mwaka wapili.
Sasa na nahitaji kuchana na habar za ualim ili nisome coz za afya maana nasikia zinalipa kuliko ualim, ila tatizo according to NACTE inabid nianzie certificate kitu ambacho mi sitaki. Ila nimeangalia guide book ya UDOM wao kwa matokeo yangu ya ADVANCE uwezekano wa kusoma diploma za afya upo ( yani nina sifa kwao)
Wasiwasi wangu ni kwamba kwanini UDOM wananikubali kwa matokeo yangu ya advance niende kusoma hzo diploma za afya wakati NACTE hawaangalii matokeo ya advance wana deal na matokeo ya fom4 tu ambayo kwa mim hayaniruhusu kusoma hizo diploma za afya.
Wasiwasi wangu zaidi naweza nikasoma diploma hizo za adya UDOM na mwisho wasiku nikaambiwa sina vigezo yakawa yaleyale ya KAMPALA UNIVERSITY
Tafadhari naombeni michango yenu ya mawazo wadau mnaozijua vzur hizi habari za coz za afya
WELCOME.