lucious_lyon
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 246
- 291
.
Waligoma kwa sababu zipi?na je hizi tetesi za kuwa kozi za heath science chuo hakijapata usajili ni kweli?maana ninataka apply lkn nasita kidogo
Asante kwa kunijuza maana nilikuwa najiuliza sipati jibu wiki iliyopita niliona tangazo la coz zao na unaomba kupitia necte na tcu ktk gazeti la mwananchi.wenzangu hapa job wananiambia hakijasili nikabaki kipi ni kipi.ngoja nianze mchakato sasa.
Kwa hiyo imesha sajiliwa kwenye mabaraza yote ya kitaaluma kama medical council, medical laboratory council, na pharmacy council, sababu tatizo lilikuwa hapo, achana na usajili wa tcu
Swala kiu imesajiliwa kwenye mabaraza ya kitaaluma kama pharmacy council, medical council, na medical laboratory council, kwa sababu huu ndio ulikuwa mgogoro mkubwa kwa kiu
duuh! mm nme apply hapo cozi ya clinical medicn(CO).sasa yanayo zngumzwa humu yananivnja moyo maana hamna mweny uhakika na usajl wa hikitu.nimebak njia panda msaada wenu plz km yupo anaepga hiz cozi hapo atusaidie ndugu.