Wadau wa JF

Ila jifurahishe mwaya....wanasema maneno huumba yawezekana ukapata unachokitaka shost
 
Mara Finland , Mara Dubai mara Zenji
...tukamate lipi tuache lipi?

Ajisemee mdau hapo juu " akitoka ndotoni asisahau kuswaki haaahaaaa
mwache mwezako kaitwa na beib akamfanyie massage. Sasa sijui ndoa tayari

Huyu atakuwa ni mkaka aisee mdada hawezi jidhalilisha hivi.
 
Ndio sasa id hyo hyo alafu thread kila siku mara gaun la harus mara visaa anaturingishia au
Ingekuwa kweli huo muda wa kuja kuturingishia angeupata wapi?
......liongoo bana!
 
Lemme buy u nandos chicks for dinner

Kuku chomassss
Ohoooo kama unaniita pm mkuu niite tuu. Sio kunirushia mahindi namna hii niingie bandani unidake..
Ila acha unidake tuu me am kaming...
 
Ndio sasa id hyo hyo alafu thread kila siku mara gaun la harus mara visaa anaturingishia au
Leo amepata "gauni zuri la maids"
Sijui kama umeelewa hiyo sentensi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…