Husband seeker
Senior Member
- May 6, 2018
- 125
- 76
ha ha haa ndoa kwa wakati huu zimekua adimu kama TANZANITE ukiipata inatakiwa uende ukatoe sadaka ya shukrani kanisani ooooooooohhhhh🙏🙏🙏🙏🙏🙏Yaani inaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa haujiamini na kujikubali.
Ndiyo maana hilo linakupa kiwewe.
Bado unashukugi tuu siku zote[emoji23][emoji23][emoji23].
Ina maana wewe ni mbaya sana??
Wala hazijawa hadimu mkuu.ha ha haa ndoa kwa wakati huu zimekua adimu kama TANZANITE ukiipata inatakiwa uende ukatoe sadaka ya shukrani kanisani ooooooooohhhhh[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Lately nasoma posts zako najiuliza ni wewe au ID yako umemuuzia mtu?Wala hazijawa hadimu mkuu.
Mwanamke ukiwa unajitambua, unajiamini, upo smart kichwani, upo smart mwonekano ( mavazi), unajituma , una ushauri " endelevu". Wanaume wa kukuoa watakuja wengi utafanya kuchagua tuu.
Umenifanya nimecheka sana.Lately nasoma posts zako najiuliza ni wewe au ID yako umemuuzia mtu?
hahaha kweli m/ke kama hana chura kisha akavaa dela unaweza kufikiri limetundikwa kwenye HENGA.Uzi kama huu bila picha sawa na mwanamke kuvaa dela bila chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji119]Ukiamka ndotoni usisahau kuswaki.