Wadau wa FOREX,mnamulikwa soon na serikali

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,946
Nimekua nikifatilia hii kazi na naona imepata wafuasi wengi wanaotoa mrejesho mzuri,bila wasi inafuta ile hofu ya wanaohoji uhalali wake.

Serikali ya Kenya kupitia Capital Markets Authority(CMA) imeweka ada mbalimbali kwa broker na traders wadogo wa forex.Na watataka wawe wanatumia majukwaa yao ambayo yapo nchini mwao na wala sio ulaya au kwingineko(online and physical presence)

Hapa Tanzania ipo Capital Markets and Securities Authority(CMSA),walivyo na moto safari hii,wanaweza nao wakajifunza toka kwa wenzao wa Kenya.

Vipi kuna mabadikiko yoyote kwenye minajili ya malipo/faida zinaweza kuathiriwa?

Zaidi ingia>>Thousands of online forex traders face CMA crackdown
 
Ni wapi ametajwa retail trader mkuu??

Anayetozwa kodi ni broker na sio retail trader!!! Na bongo hatuna brokers. Na jinsi wawekezaji wanavyopigwa vita sahau broker kuja kuwekeza ela zake hapa!!

Tutakomaa na brokers wa uk... South.. usa... Na kwingineko... Wakitaka kodi wawafwate huko!!

Alafu hiyo habari mbona kama hujaisoma ukaimaliza mkuu??
 
Nilikua na haraka mkuu

Imalizie basi kuiweka kama vipi
 
Ni wapi ametajwa retail trader mkuu??

Anayetozwa kodi ni broker na sio retail trader!!! Na bongo hatuna brokers. Na jinsi wawekezaji wanavyopigwa vita sahau broker kuja kuwekeza ela zake hapa!!

Tutakomaa na brokers wa uk... South.. usa... Na kwingineko... Wakitaka kodi wawafwate huko!!

Alafu hiyo habari mbona kama hujaisoma ukaimaliza mkuu??
Mkuu umeneeenaaa
 
Soma post alafu soma maudhui ya hiyo link.
Mimi sikua nafanya kuandika kama ilivyoandikwa,nimeweka na mawazo yangu ambayo kimsingi yanauwezekano wa kutokea hayo mambo ya forex trading yakawa kisheria mwanzo mwisho kama ilivyo gambling/betting.
 
Hii kitu niliwahi kujiuliza na nina hakika muda si mrefu serikali itaweka mkono wake na nina hakika wataintroduce na kodi
 
Bongo hamna broker mkuu. Kodi wataipata nikienda kuchukua changu benki.
a409c9bd81ca5a9dc44e793d1a3a72d9.jpg
 
Back
Top Bottom