Wadau wa elimu mkoa wa pwani,morogoro,singida na mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau wa elimu mkoa wa pwani,morogoro,singida na mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Richardbr, Jan 4, 2012.

 1. R

  Richardbr Senior Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau wa elimu popote mlipo nipo katika mchakato wa kutafuta shule kwajili ya kidato cha 5 na cha 6 kwa mwaka 2012,kutokana ufinyu wa fedha ninatafuta shule yenye gharama nafuu popote pale katika mikoa niliyotaja (private school)day and boarding school.

  Hivyo kama wewe ni mkuu wa chuo ama unaufahamu wowte kuhusu hili tafadhali nifahamishe bila utani wowote.

  Vilevile kwa atakaye kuwa na details zozote kuhusu shule yenye gharama nafuu kwa O level piaanisaidie.

  Aksanteni.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Pwani-marian girls secondary school,morogoro kuna msolla sec,singda cjui.
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu jamaa ameomba Shule za bei cheap je Marian Girls wanatoza kidogo?
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jaribu shule moja ya Mzungu pekupeku au inaitwa Alfa Games ipo cheap sana kuna O and A level ipo Morogoro town mkuu
   
 5. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Singida Jaribu Pallott girls sec. school

  St.Carolus
   
 6. R

  Richardbr Senior Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru sana wadau kwa support yenu,endeleeni kunipatia more details kama zipo
   
 7. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alfa ni nzuri ila kupata nafasi ndo yake ndo shughuli
   
Loading...