Wadau tuelimishane kati ya "Elimu bure au matibabu bure"

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Wadau nawaomba tusaidiani kuchangia hoja iliyopo hapo Juu inayosema Je Serikali ilitakuwa itoe Elimu bure au Matibabu bure? Mie bnafsi nilipendelea kama Serikali Yetu badala ya kutoa Elimu bure bora ingetoa Matibabu bure Na Kwa upande wa Elimu wananchi wangechangia kiasi kuliko ilivyo hivi sasa gharama za kuchangia Matibabu in kubwa kutokana Na gharama za Dawa Na vipimo. Nawakaribisha kuchangia.
 
Back
Top Bottom