Wadau nina SHAMBA /KIWANJA changu kipo KAZIMZWUMBWI kisarawe , kina ukubwa wa robo tatu ya heka, nahitaji mtu wakubadilishana nae anipe sehem ingne nami nimpe hapo kwangu.
KIWANJA kipo KARIBU na hospital ya KAZIMZWUMBWI karibu na kami kabisa.
KARIBU tufanye kazi.
0755102030