mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 May 3, 2015 #1 Wakubwa shkamoon wadogo poa... Mimi kwa sasa nimepanga maeneo ambayo kwa kweli sipapendi kwani kwanza nlipangia shida sasa nataka kuhama nihamie maeneo kama ubungo au tabata.... Kwa anaejua eneo lenye chumba kizuri kwa bei nzuri anitafute PM
Wakubwa shkamoon wadogo poa... Mimi kwa sasa nimepanga maeneo ambayo kwa kweli sipapendi kwani kwanza nlipangia shida sasa nataka kuhama nihamie maeneo kama ubungo au tabata.... Kwa anaejua eneo lenye chumba kizuri kwa bei nzuri anitafute PM