Wadau nisaidieni hii issue ya serikali 3 au 2

Wadau nisaidieni hii issue ya serikali 3 au 2

ILLICH

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
240
Reaction score
184
Maswali yangu ni haya,je,nchi yetu ya Tanzania ina maraisi wangapi? na makamu wa raisi wangapi?je,Dr Bilal,makam wa raisi wa Tanzania anahudumu Tanganyika na Zanzibar?kama sio,huu sio mfumo serikali 3?je,bajeti ya kuwahudumia Bilal,Balozi Idd na Maalim Seif ni kiasi gani?je,hii gharama haiwezi kuwa zaidi ya kumwongeza kiongozi mmoja tu wa Tanganyika na hawa watatu tukawafuta?
Jamani tujadiliane na tuelimishane tu..Aksanteni
 
Warioba alishafafanua yote hayo.
 
Anza kufuatilia mada za mwanzo kabisa kipindi mchakato huu unaanza, zaidi Kama mdau alivyokueleza hapo juu, walioba aloshamaliza yote hayo hivyo fanya kutafuta nini alikisema kitakupa Majibu yote hayo na Kama kuna ziada karibu sana
 
Back
Top Bottom