Hayo ni mambo ya ten percent bongo, ndo maana hatuendelei, ukiona hivyo, hata hiyo kampuni iliyoandikwa haina viwango stahiki. Maana mwenye kujiamini hawezi kuuza jina lake kirahisi rahisi hivyo. Jengo likitathminiwa si lawama zitaenda kwa aliyeandikwa kwenye kibao.