Wadau naomba msaada

Wadau naomba msaada

FadStar

Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Nina modem ya Vodafone, Model yake ni K3571-Z Je ni namna gani naweza ichakachua?
 
kama una tumia windows 7 huitaji kuchakachua weka line yoyote subiri isome kwa chni utaona ki alama cha network bønyeza utaona jina la line ulyo weka.connect tayar
 
kama una tumia windows 7 huitaji kuchakachua weka line yoyote subiri isome kwa chni utaona ki alama cha network bønyeza utaona jina la line ulyo weka.connect tayar

Je kwa K3570-Z inakuwaje ni hivyohivyo au kuna maujanja tofauti?
 
Back
Top Bottom