Wadau naomba msaada kwenye application za kazi TRA

Wadau naomba msaada kwenye application za kazi TRA

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
4,709
Reaction score
4,219
Mimi naomba kwa mara ya kwnza kazi TRA online kwenye kujaza fomu sehemu ya kujaza tarehe ya kuanza chuo na kumaliza inaniambia nimekosea.

Hivi inawezekana wanataka tarehe ya kuingia exactly na ya kutoka? Mimi nakumbuka mwezi na mwaka tu lakini si tarehe. Naomba mwenye uzoefu anijuze.
 
mm naomba kwa mara ya kwnza kazi TRA online. kwny kujaza fomu sehemu ya kujaza tarehe ya kuanza chuo na kumaliza inaniambia nimekosea. ivi inawezekana wanataka tarehe ya kuingia exactly na ya kutoka? mm nakumbuka mwezi na mwaka tu lakn c tarehe. naomba mwenye uzoefu anijuze

Angalia trh unazobuni zisiwe zinaangukia weekend.....tarehe haimati pia angalia format ya trh....
 
Hellow mkuu, pole kwa usumbufu ulioupata, tarehe ndio hizo hizo unazozijua wewe, ila tatizo ni moja tu linatokea ndio maana wanakwambia umekosea, fatilia kwa makini.

Kwenye sehemu ya kuandika tarehe na mwaka, kuna kibox wameweka kalenda yao ikionyesha tarehe mwezi na mwaka, hivyo ni automatic wewe hutakiwi kujiandikia mwenyewe.

Inabidi uclick, calender ikitokea unabonyeza tarehe, utaona sehemu pameandikwa date, then unabonyesha mwezi kwenye month, then unaselect mwaka kwenye year. Na ukimaliza mpangilio wake huko tofauti utaona zimejipanga kwa kuanzia, mwezi, tarehe then mwaka, mfano utaona ukimaliza kuselect imeandika labda kama ni tarehe ishirini mwezi wa kwanza iatakuwa hivi, 1/20/1988.

Hivyo sehemu ikukuta automatic usijiandikie mwenyewe, tumia hivyo vijedwali,

Asante mkuu.

cc: MZAWA JF
 
Last edited by a moderator:
Unakosea format jinsi ya kujaza tarehe unaanza na mwezi then siku then mwaka mfano umemaliza chuo tarehe 15/06/2014 kwenye hilo box utaandika hivi 06/15/2014 n.k fanya hivyo itakubali
 
hellow mkuu, pole kwa usumbufu ulioupata, tarehe ndio hizo hizo unazozijua wewe, ila tatizo ni moja tu linatokea ndio maana wanakwambia umekosea, fatilia kwa makini.

Kwenye sehemu ya kuandika tarehe na mwaka, kuna kibox wameweka kalenda yao ikionyesha tarehe mwezi na mwaka, hivyo ni automatic wewe hutakiwi kujiandikia mwenyewe.

Inabidi uclick, calender ikitokea unabonyeza tarehe, utaona sehemu pameandikwa date, then unabonyesha mwezi kwenye month, then unaselect mwaka kwenye year. Na ukimaliza mpangilio wake huko tofauti utaona zimejipanga kwa kuanzia, mwezi, tarehe then mwaka, mfano utaona ukimaliza kuselect imeandika labda kama ni tarehe ishirini mwezi wa kwanza iatakuwa hivi, 1/20/1988.

Hivyo sehemu ikukuta automatic usijiandikie mwenyewe, tumia hivyo vijedwali,

asante mkuu.

Cc: mzawa jf
thanks mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom