umeona wapi hiyo mkuuWadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali.
Natanguliza shukrani zangu.
umeona wapi hiyo mkuu
Ipo mitandaoni. Ukitype Vicoba kwenye facebook utayaona. Just try.
inawezekana inakua policy ya microfinance maana hio hela unayo i deposit inakua kama dhamana ya mkopo wako kwaio wanakikundi wote mnachangia then yule atakae kuja ku default mnakatwa incase mikopo ikiwa mnamalizia na mtu akazingua ni sahihi, sema iende kwenye right way mist ya dhamana kwenye vikoba ni hio compulsory deposit na kujuana member hawana mambo ya kusema leta hati ya nyumba , au gariWadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali.
Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu nishaelewa watu unaowazungumzia.Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali.
Natanguliza shukrani zangu.