Wadau mwenye nyimbo hizi za T.O.T BAND

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Kuna baadhi ya nyimbo za TOT band ambazo zilikuwa kwenye album yao ya kwanza na ya pili ambazo nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu sana.Nafikiri ndani ya JF haliharibiki neno na nina imani nitazipta kupitia kwenu waungwana.

Nyimbo zenyewe ni "mpende akupendae" na wimbo mmoja hivi sikumbuki jina lake ambao ndani yake Marehemu Leila Rashid na wengine walishiriki kuimba.

Kwa kifupi kama nikipata nyimbo zao kutoka kwenye album ya kwanza itakuwa poa sana na album yao ya pili.
 
Kuna ule alioimba Misambano alioimba na TOT band. Nilikuwa naupenda sana! Nimejaribu sana kuutafuta sijauona popote. Na ule wa Sonyo, "Mwenyekwenu kwaheri".
 
Kuna ule alioimba Misambano alioimba na TOT band. Nilikuwa naupenda sana! Nimejaribu sana kuutafuta sijauona popote. Na ule wa Sonyo, "Mwenyekwenu kwaheri".
Huo mbona unapatikana mkuu,ngoja nijaribu kukuwekea,unaitwa masimango
Nielekeze jinsi ya kuattach audio nikuwekee
 
Mwenye ya tot unaitwa mtoto yatima
 
Nami nazihitaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…