Wadau msaada tafadhali

EnvyPearl

Senior Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
170
Reaction score
351
Ni njia zipi au dawa ambazo anaweza kutumia mtu anaesumbuliwa na tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara...msaada tafadhali
 
Kuna majani yanakuota sana sehemu zenye maji yanakua yamesongamna sana madogo madogo.
 
Ngoja nijifunze kitu kupitia Michango ya WADAU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…