wadau msaada foward yangu butu

wadau msaada foward yangu butu

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
Wanajamvi naomba ushauri wenu, sasa nina miaka 28 nilibahatika kuanza mapenzi nilipoanza chuo mwaka 2006, nimeshakuwa na relation 4 tofauti tofauti, katika hz relation wawili nimewapata facebook, mmoja alinitokea yeye, mwingine nilipigiwa pande na mshkaji wangu,
Wote hawa nimekuwa nikimwaga sumu (kuapproach) through phone, huyu wa sasa nilipojaribu kumwaga sumu through phone alinichomolea kwa kigezo kuwa mpaka 2onane face 2 face ndo nitajieleza, kimbembe ilikuwa siku 2nakutana, nilikuwa kama nimemwagiwa maji, nikamwambia simple nakupenda nahitaji kuwa mpnz wako sina maneno mengi, bahati nzuri alikuwa amenikolea akanikubali, ila wanajamvi nishaurini manake hii foward yangu ilivyo butu, nashindwa kuelewa mbinu za kuinoa foward iweze kuforce magoli,
 
Tafuta hela kwanza. Money talks.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tumia 4-3-3 formation kama barcelona uwe unashambulia kwa pasi fupi fupi nyingi za haraka haraka na mpira wa kuvutia..

Au ukitaka kuipa nguvu forward yake sajili kiungo mshambuliaji then ipeleke kambi uturuki kama yanga walivyofanya..

Ni hayo tu ndugu yangu kila la kheri kwa msimu ujao

Au kama vipi hata 4-5-1 formation inayotumiwa sana kwenye modern football sio mbaya sana kwenye kupata ushindi mwembamba..
 
Dogo uza timu kwa waarabu wa mafuta utanunua mchezajinyeyote unayemtaka maana yake ni piga mzigo kwa bidii .. upate hela za kubadilisha mboga watakuja wenyewe...

Au kama vipi
Fanya usajiri wewe nisajili mimi niwe nacheza mechi hizo kubwa kubwa kama kiungo mshambuliaji wewe ubaki kumalizia kama chicarito tu
 
Acha kujisumbua kutongoza hakunaga formula,hivyo unavyofanya ndio ujanja wako.Au unataka uandikiwe point na mtu?
 
Kutongoza ni kutongoza tu,iwe kwa simu,face to face etc etc.
 
Foward huwa hafundishwi namna ya kufunga
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu, sasa nina miaka 28 nilibahatika kuanza mapenzi nilipoanza chuo mwaka 2006, nimeshakuwa na relation 4 tofauti tofauti, katika hz relation wawili nimewapata facebook, mmoja alinitokea yeye, mwingine nilipigiwa pande na mshkaji wangu,
Wote hawa nimekuwa nikimwaga sumu (kuapproach) through phone, huyu wa sasa nilipojaribu kumwaga sumu through phone alinichomolea kwa kigezo kuwa mpaka 2onane face 2 face ndo nitajieleza, kimbembe ilikuwa siku 2nakutana, nilikuwa kama nimemwagiwa maji, nikamwambia simple nakupenda nahitaji kuwa mpnz wako sina maneno mengi, bahati nzuri alikuwa amenikolea akanikubali, ila wanajamvi nishaurini manake hii foward yangu ilivyo butu, nashindwa kuelewa mbinu za kuinoa foward iweze kuforce magoli,

Duh hivi mpaka leo mnatongoza?? dah mi nshasahau kabisa mi nnachojua ni kuwachekesha chekesha,kuwataniatania,kuwasifia ,kujifanya sina time nao sana nk then wanaingia line wenyewe
 
Wewe ndo hujaelewa, napiga mzigo mbaya mim sio wa ushnd mwembamba kama nikifanikiwa kufika kwenye penalt box, ila tatizo ni mbinu za kufika eneo la hatari
Anamaanisha yy ni mmoja ya wale bao moja chaliiiii kama ametoka kukimbia mbio za marathon!
 
Wewe ndo hujaelewa, napiga mzigo mbaya mim sio wa ushnd mwembamba kama nikifanikiwa kufika kwenye penalt box, ila tatizo ni mbinu za kufika eneo la hatari

mmmmmhhhh!ngoja nikatafute mbinu nije nikwambie mkuu!
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu, sasa nina miaka 28 nilibahatika kuanza mapenzi nilipoanza chuo mwaka 2006, nimeshakuwa na relation 4 tofauti tofauti, katika hz relation wawili nimewapata facebook, mmoja alinitokea yeye, mwingine nilipigiwa pande na mshkaji wangu,
Wote hawa nimekuwa nikimwaga sumu (kuapproach) through phone, huyu wa sasa nilipojaribu kumwaga sumu through phone alinichomolea kwa kigezo kuwa mpaka 2onane face 2 face ndo nitajieleza, kimbembe ilikuwa siku 2nakutana, nilikuwa kama nimemwagiwa maji, nikamwambia simple nakupenda nahitaji kuwa mpnz wako sina maneno mengi, bahati nzuri alikuwa amenikolea akanikubali, ila wanajamvi nishaurini manake hii foward yangu ilivyo butu, nashindwa kuelewa mbinu za kuinoa foward iweze kuforce magoli,
oa huyo uliyenae kwa sasa,baada ya hapo nadhan huitaji ktongoza tena:shut-mouth:
 
Back
Top Bottom