Mkuu ukiangalia internet imeshika kasi miaka gani na hio pornhub imeanzishwa mwaka gani utapata jibu...
Lakini all in all porn zina addiction zaidi ya kupanda ndege au kuangalia tv..
Unaweza kuwa na sh 2000 ya vocha kwenye simu ukiunga bundle linagoma kisa porn unaweza kuingia online bila hata kuunga bundle. ..akili zi arudi hela ikiisha unaanza kujilaumu kwa nini hukuvumilia hadi mtandao uwe flesh ununue bundle
Sent using
Jamii Forums mobile app