Wadau mpo?

Alafu wewe kudownload picha za misos kama unapenda kula kwanini?

Unasababisha watu mateee iwatoke kila saa yan udenda why?

Masaa yote wewe unakula tu
 
Nyama Nyama Nyama..?
Nyama ya kuku..
Nyama ya bata..
Nyama ya mbuzi..
Nyama ya mamba..
Nyama ya swala..
Nyama ya paka..
Nyama ya popo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…