slovakis
Member
- Jan 22, 2017
- 90
- 15
Njoo nikupe cha Dstv king'amuzi bila dish lkn na ntakupa kwa bei nzuri tu..!!
Njoo nikupe cha dstv mkuu..!Nami nahitaji king'amuzi cha azam bila dish.Pesa yangu ni elf 60 hela ya kitanzania
Unakiuza bei gan mkuu
Dish sina,kipo king'amuzi na remote yake. Dish bado nalitumia,ulizia kwanza dish kwa mawakala watakuuzia bei gani. Dstv king'amuzi bila dish,wanauza Tsh.59,000/=. Me ntakuuzia elfu 40.Unakiuza bei gan mkuu
Nataka kiwe full
Mi nataka kuhama star times
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Bei gani?Njoo nikupe cha Dstv king'amuzi bila dish lkn na ntakupa kwa bei nzuri tu..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninacho sikitumii! Nipo arusha! Nicheki!Unakiuza bei gan mkuu
Nataka kiwe full
Mi nataka kuhama star times
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Hapana mkuu,km ni hiyo we njoo kesho. Bei ya king'amuzi cha dstv bila dish ni elfu 59. Nimekupunguzia elfu 19. Huwezi kupata popote kwa hiyo bei. Na dish la dstv kupata wala siyo issue!
Kula 35 hali tyt na dish Cyo ishu kvp linapatikanaje n kw bei gani?Hapana mkuu,km ni hiyo we njoo kesho. Bei ya king'amuzi cha dstv bila dish ni elfu 59. Nimekupunguzia elfu 19. Huwezi kupata popote kwa hiyo bei. Na dish la dstv kupata wala siyo issue!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu soma vzuri update yangu nimemaanisha azam cyo dstvHapana mkuu,km ni hiyo we njoo kesho. Bei ya king'amuzi cha dstv bila dish ni elfu 59. Nimekupunguzia elfu 19. Huwezi kupata popote kwa hiyo bei. Na dish la dstv kupata wala siyo issue!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dish unapata kwa mawakala wa dstv au mafundi..kwanza upo mkoa gani,tunaweza kuwa tunajadili kumbe upo mkoani. Me npo dar!Kula 35 hali tyt na dish Cyo ishu kvp linapatikanaje n kw bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
So sad