Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Wadau nadhani wakati umefika wa Bunge letu kutunga Sheria ya utoaji Rambirambi ili kunusuru watoaji Rambirambi wasijikute matatizoni kama yalivyowakuta Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Na viongozi wa Shule .Kosa lao ni kusanyika bila Kibali.Pia Sheria hiyo itasaidia kutoa idadi ya watoa rambirambi ambao hawafanyi mkusanyiko.