akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Weka picha yake na namba yake ya simu ili unapotaka kuchepuka nimpigie awe mchepuko wangu ili uchepuke kirahisi. Na pia tambua njia kuu yako ndo mchepuko wa mwenzako.Njia kuu inazingua ile mbaya kiasi cha kutokuwa na mawasiliano mazuri, tunaweza kaa hata wiki bila kupigiana simu, lakini kila nikiwaza kuchepuka, lazima anicall na kuniuliza nipo wapi...anajuaje huyu mtu.?!?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Weka picha yake mkeo na namba yake ya simu ili unapotaka kuchepuka nimpigie awe mchepuko wangu ili uchepuke kirahisi. Na pia tambua njia kuu yako ndo mchepuko wa mwenzako.Njia kuu inazingua ile mbaya kiasi cha kutokuwa na mawasiliano mazuri, tunaweza kaa hata wiki bila kupigiana simu, lakini kila nikiwaza kuchepuka, lazima anicall na kuniuliza nipo wapi...anajuaje huyu mtu.?!?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
wengine wana machale sana na huwa wanahisi kitu unapotaka kuchepuka ni kihisia zaidi anahisi kunakitu si kizuri kinaenda kutendeka
Baki njia kuu epuka michepuko
Sasa mbona anazingua!? Nikitaka kale kamchezo ananipush sanaMmmh.. Inaonyesha kwamba akili yake iko kwako muda wowote na unapotaka kufanya baya lazima roho imuume!!
Sasa mbona anazingua!? Nikitaka kale kamchezo ananipush sana
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Anataka mpaka ndoa
Mmmh, mbona tulishaanza kitambo, > 2 years.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Anakupenda sana
Kuna uhusiano gani kati ya kupendwa na hii issue..
Sent from my iPhone using JamiiForums app
wengine wana machale sana na huwa wanahisi kitu unapotaka kuchepuka ni kihisia zaidi anahisi kunakitu si kizuri kinaenda kutendeka
sasa mbona anazingua!? Nikitaka kale kamchezo ananipush sana
sent from my iphone using jamiiforums app