Inaweza kuwa kama mzaha... But wanaume waliojenga ukweni na hali hawajajenga kwao ni wengi sana. Na hiyo hutokana na influence ya mwanamke/mke wa mwanaume na ni kwa kiwango kipi huyo mwanaume kakamatika.
Kimsingi siyo mbaya kwa mume kujenga ukweni... Ila ubaya uja pale ambapo kwao ni ovyo na kwastahili kujengwa pia alafu kisha akaanza kwa wakwe. Ni aibu.
Tatizo la hili suala, waume wengi sana katika ndoa wamekamatika na wake zao, wala hata hawatambui wamekamatika kiasi kwamba hata akisoma hii post yako
Kimbweka, hasikii wala haambiwi, na bahati nzuri ama mbaya wala hata asigundue kuwa inamhusu... Lol.