Wadau hii imekaaje kutukanwa waafrika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau hii imekaaje kutukanwa waafrika.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chukwuemeka, Jan 25, 2012.

 1. c

  chukwuemeka New Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Katika pekua pekua nimekutana na hiyo link hapo juu. Na hili kundi limeshaanza kufanyakazi hapa bongo. Ni kweli Waafrika tunahitaji wazungu hawa na wafuasi wao weusi wa kutoka marekani?

  M-marekani mweusi anaitukana afrika/na waafrika kwa jina la ................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sijaona tusi hapo, sana sana naona kuambiwa ukweli tu!
   
Loading...