Wadau ebu tuipe maneno hii picha

Wadau ebu tuipe maneno hii picha

Jagermaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
654
Reaction score
321
c4.jpg

Tusaidiane kuipa maneno hii picha. JK akiwasili kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa polisi CCP Moshi mapema week hii
 
Mi sina neno la kuipa, lakini nimeona suruali panga limekolea! Ya IGP ina mstari wa kamba
 
Jk - nimekukubali mtu wangu majority wanajua ni polo kumbe ni ddt
 
Mwema jamaa kanifuraisha sana kamaliza kazi na file kapeleka DDP mcheck kwa stail yoyote teeeh teeeh
 
aisee, huu jamaa leo katinga suti mpya sababu yangu!!!?? tehe tehe tehe tehe
 
Jamaa naye kahongwa suti kama JK, Kama shukrani kwa kazi aliyoifanya.
 
Back
Top Bottom