Wadada wengine kwanini mpo hivi?

Lucas Mobutu njoo unifafanulie nami nichangie mada, maana nmesoma mara mbili mbili ila nimetoka kapa.
Kichwa changu kizito kuelewa sjui
anashangaa wadada wenzie ambao wanalazimisha penzi yani mwanaume hana time lakini mdada anazidi kumpenda jamaa mara ampe jama pesa nk
ila usiumize kichwa babe😁 twenzetu tu PM
 
anashangaa wadada wenzie ambao wanalazimisha penzi yani mwanaume hana time lakini mdada anazidi kumpenda jamaa mara ampe jama pesa nk
ila usiumize kichwa babe😁 twenzetu tu PM
Aah kumbe... Huwezi jua mtu anapata nini hadi anaforce penzi😂😂 Waswahili wanasemaga siri ya mtungi aijuaye kata

Njoo PM, utanikuta nmetulia tuli nakusubiri
 
Aah kumbe... Huwezi jua mtu anapata nini hadi anaforce penzi😂😂 Waswahili wanasemaga siri ya mtungi aijuaye kata

Njoo PM, utanikuta nmetulia tuli nakusubiri
kabisaa mapenzi yana mambo mengi sana ndio maana hata socrates na Einstein yaliwashinda.
nakuja fasta,huo mstari wa mwisho umenifurahisha sana🥰
 
sawa,unajua mapenzi yana mambo mengi aise,usiombe umpende mtu,mimi nilimpenda mtu ana mshahara mkubwa ananizidi ila nikawa namnulia vitu,hiyo haipo kwa wadada tu,kuna mwanafalsafa alisema Love is a very serious mental disease
Love is very serious mental disease[emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…