Wadada wanapendelea zaidi marashi ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri

mi mwenyewe mke wng anapenda kupaka deodorant yng,wakati mm pafyumu zake huwa sijipulizii kabisa na hata mzuka na pafyumu sina kabisa
 
Kuoros ya Yves saint Lauren nayo ipo poa,Intense ya Issey miyake ukipata na Black Xs ya pacco rabbane....hiyo ni formidable combination matata sana
 
Kuna perfume nyingine mtu akipulizia lazma umpige jicho mara mbili
 
mi mwenyewe muumini wa perfume za kiume zina nukia vzr harufu zake hazikeri
 
Kuna combination nyigine ya
Gorgio arman Aqua
Issey Miyake
Paco rabbane one milion

We tunaweza kukaa ghetto moja

DSC_0050.jpg
 
Back
Top Bottom