Wadada wanaovaa madera

Wadada wanaovaa madera

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,554
Reaction score
2,717
Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana.

Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni ile ya kulibana pande zote. Basi huwa navurugwa hadi nasahau kama sikuletwa duniani kwa ajili ya ngono.

Wanaovaa sarawili na vitopu wananikera tu! Hakuna mdada anaevaa dera asipendeze hata kama hana Nyash.

Kiukweli dera linanipaga vibe. Wadada mnaovaaga madera namuomba mungu awaandalie mahali penu peponi na huko awaruhusu kuendelea kuvaa madera.

Hawa wa suruali na vitopu wachomwe moto wapuuzi.
NB: kama ukitaka mada za seriously nitag kule kwenye jukwaa la uchumi.
 
Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana.
Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni ile ya kulibana pande zote. Basi huwa navurugwa hadi nasahau kama sikuletwa duniani kwa ajili ya ngono. Wanaovaa sarawili na vitopu wananikera tu! Hakuna mdada anaevaa dera asipendeze hata kama hana Nyash. Kiukweli dera linanipaga vibe. Wadada mnaovaaga madera namuomba mungu awaandalie mahali penu peponi na huko awaruhusu kuendelea kuvaa madera. Hawa wa suruali na vitopu wachomwe moto wapuuzi.

No reforms no ELECTION 😊
 
Ukute mvaa dela harafu chupi kwake inampa joto yaan kila mara mkanda unaliwa na deki hahaaaa.... Na kanyoa denge hao mm hua nawapenda kwamechi zao za vurugu 😂😂unaweza kutoa kilio km umevamiwa na majambazi kumbe katoto kamekupa utam 😂😂😂mtu mzima ukashindwa kuvumilia....
 
Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana.
Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni ile ya kulibana pande zote. Basi huwa navurugwa hadi nasahau kama sikuletwa duniani kwa ajili ya ngono. Wanaovaa sarawili na vitopu wananikera tu! Hakuna mdada anaevaa dera asipendeze hata kama hana Nyash. Kiukweli dera linanipaga vibe. Wadada mnaovaaga madera namuomba mungu awaandalie mahali penu peponi na huko awaruhusu kuendelea kuvaa madera. Hawa wa suruali na vitopu wachomwe moto wapuuzi.
NB: kama ukitaka mada za seriously nitag kule kwenye jukwaa la uchumi.
Picha iko wapi?
 
No reforms no ELECTION 😊
20250612_190153.jpg
 
Back
Top Bottom