🤣🤣🤣Sasa huyo so mke mtu tayari?yani afanye yote hayo akiwa anatumika aka kuchunguzwa ili aolewe?🤣🤣🤣
Btw vipi uneoa mkuu?na ana sifa hizo au bado unanunua UTI za bei rahisi?
Halafu kuhusu tatizo la ungedere nimekumbuka kitu hadi nimecheka. Nilimkuta demu anacheza muziki mbele ya simu halafu hakuna hata mziki wenyewe, nikaambiwa anatengeneza Tik-Tok. Nilibaki nashangaa tu.