Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,186 Reaction score 18,905 Aug 14, 2023 #261 Sifa nyingine hii hapa; Asiwe na Apps za Tik tok, Jeiefu na Badoo kwenye Simu yake๐
Emoj JF-Expert Member Joined Oct 9, 2015 Posts 839 Reaction score 1,307 Aug 14, 2023 #262 Hakuna formula yakuolewa.
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,186 Reaction score 18,905 Aug 14, 2023 #263 Equation x kuvaa kanga nayo sifa eti? Naomba kueleweshwa umuhimu wa mwanamke kuvaa kanga akiwa nyumbani.
Equation x kuvaa kanga nayo sifa eti? Naomba kueleweshwa umuhimu wa mwanamke kuvaa kanga akiwa nyumbani.
Ndege Tai JF-Expert Member Joined May 6, 2020 Posts 5,090 Reaction score 9,433 Aug 14, 2023 #264 yuko wapi mamaa mwenye sifa kama hizo niweke ndani rasmi.
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 14, 2023 #265 Equation x said: Ebu jaribu kuziishi hizo sifa ukiwa na mpenzi wako, nakuahidi ndani ya miezi sita tu, utatulete kadi za harusi Click to expand... Hapaswi kuziishi bali inapaswa kuwa ni tabia yake halisi (Intrinsic behavior)
Equation x said: Ebu jaribu kuziishi hizo sifa ukiwa na mpenzi wako, nakuahidi ndani ya miezi sita tu, utatulete kadi za harusi Click to expand... Hapaswi kuziishi bali inapaswa kuwa ni tabia yake halisi (Intrinsic behavior)
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #266 RealixT said: Mkiwa na msimamo thabiti wa kutokuwazia kuoa kwakweli mtaishi kwa furaha sn Click to expand... Tatizo, fainali ni uzeeni
RealixT said: Mkiwa na msimamo thabiti wa kutokuwazia kuoa kwakweli mtaishi kwa furaha sn Click to expand... Tatizo, fainali ni uzeeni
Ndege Tai JF-Expert Member Joined May 6, 2020 Posts 5,090 Reaction score 9,433 Aug 14, 2023 #267 Equation x said: Nimeoa mkuu, mwaka wa 23 huu; pia tunapasha pasha huku nje ili kuwapa kampani hawa ambao hawajaolewa, wasijihisi vibaya kwamba tumewatenga. Click to expand... vipi wahuni wameshakuadd kwenye group la watakaochomwa moto siku ya mwisho?
Equation x said: Nimeoa mkuu, mwaka wa 23 huu; pia tunapasha pasha huku nje ili kuwapa kampani hawa ambao hawajaolewa, wasijihisi vibaya kwamba tumewatenga. Click to expand... vipi wahuni wameshakuadd kwenye group la watakaochomwa moto siku ya mwisho?
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,932 Reaction score 7,093 Aug 14, 2023 #268 Equation x said: Wewe unaonekana ni mtata, mume lazima awe na kazi ya ziada Click to expand... Hapana sina utata wowote usinihukumu haya ni maandishi tu
Equation x said: Wewe unaonekana ni mtata, mume lazima awe na kazi ya ziada Click to expand... Hapana sina utata wowote usinihukumu haya ni maandishi tu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #269 Depal said: Sivai khanga.. Click to expand... unavaa mataiti tu ๐
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #270 Ndege Tai said: vipi wahuni wameshakuadd kwenye group la watakaochomwa moto siku ya mwisho? Click to expand... Tutakuwa wateule wachache tutakaosherehekea na kina mama jusi
Ndege Tai said: vipi wahuni wameshakuadd kwenye group la watakaochomwa moto siku ya mwisho? Click to expand... Tutakuwa wateule wachache tutakaosherehekea na kina mama jusi
Ndege Tai JF-Expert Member Joined May 6, 2020 Posts 5,090 Reaction score 9,433 Aug 14, 2023 #271 Equation x said: Tutakuwa wateule wachache tutakaosherehekea na kina mama jusi Click to expand... mimi ntakua idara ya mapokezi pamoja na Musa na Elia
Equation x said: Tutakuwa wateule wachache tutakaosherehekea na kina mama jusi Click to expand... mimi ntakua idara ya mapokezi pamoja na Musa na Elia
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #272 Lenie said: Hapo kwenye kufunga kanga mbona mtihani mweee Click to expand... Endeleeni kuvaa majinsi tu
Lenie said: Hapo kwenye kufunga kanga mbona mtihani mweee Click to expand... Endeleeni kuvaa majinsi tu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #273 Leejay49 said: Amen๐ค๐ค Click to expand... Mbona amen zimezidi; chukua chuma hicho ๐
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 14, 2023 #274 Equation x said: Niko naye hapa nampa maupendo tu ๐ Click to expand... Thubutuuuuu!!!!!
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #275 Raymanu KE said: Equation x kuvaa kanga nayo sifa eti? Naomba kueleweshwa umuhimu wa mwanamke kuvaa kanga akiwa nyumbani. Click to expand... Inaashiria kujistiri, na kuonyesha yeye ni mtu wa kazi katika familia
Raymanu KE said: Equation x kuvaa kanga nayo sifa eti? Naomba kueleweshwa umuhimu wa mwanamke kuvaa kanga akiwa nyumbani. Click to expand... Inaashiria kujistiri, na kuonyesha yeye ni mtu wa kazi katika familia
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Aug 14, 2023 #276 Equation x said: Endeleeni kuvaa majinsi tu Click to expand... Vibukta je?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #277 Cute Wife said: Thubutuuuuu!!!!! Click to expand... Hawezi kuliachia hili goma ๐ ๐
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,931 Aug 14, 2023 #278 Equation x said: Mbona amen zimezidi; chukua chuma hicho ๐ Click to expand... Tulia wewe ๐คจ๐คจ,, namvuta taratibu taratibu๐๐๐๐
Equation x said: Mbona amen zimezidi; chukua chuma hicho ๐ Click to expand... Tulia wewe ๐คจ๐คจ,, namvuta taratibu taratibu๐๐๐๐
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #279 Ramon Sanchez said: Hapaswi kuziishi bali inapaswa kuwa ni tabia yake halisi (Intrinsic behavior) Click to expand... Wengine wanasema ujasiriamali sio akili ya kuzaliwa nayo, bali unaweza kufundishwa na kuwa mjasiriamali.
Ramon Sanchez said: Hapaswi kuziishi bali inapaswa kuwa ni tabia yake halisi (Intrinsic behavior) Click to expand... Wengine wanasema ujasiriamali sio akili ya kuzaliwa nayo, bali unaweza kufundishwa na kuwa mjasiriamali.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,264 Reaction score 55,861 Aug 14, 2023 Thread starter #280 Leejay49 said: Tulia wewe ๐คจ๐คจ,, namvuta taratibu taratibu๐๐๐๐ Click to expand... Ili umpige tukio au ๐
Leejay49 said: Tulia wewe ๐คจ๐คจ,, namvuta taratibu taratibu๐๐๐๐ Click to expand... Ili umpige tukio au ๐