Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Kama ana mapenzi ya dhati hawezi kimbia na akikimbia muache aende zakeMtumishi hamna namna usipo wapa pesa wanakukimbia....!
Bwana Yesu asifiwe!!!!!
Mm nimegundua wanawake wengi mnaowaona/wanaoonekana wathamani ni kwa SBB wapo wanaume wanaowapa pesa nyingi bila mpangilio kuliko unazotaka kumpa wewe.
Kumbe uthamani, kujidai,na ujeuri wao ni kwa SBB ya hao wanaowapa pesa ovyoovyo. Kwaiyo kumbe km wanaume watajitambua, nao pia akili yao na kujiona kwao kutapungua.
Fedha mnazotumia kuwapa wadada, ungeweza kabsa kulipa Mahari mkaishi mke&mume.
Nanyi wadada MTU anaekupa fedha bila mpangilio na Hana mpango WA kukuoa, mwangalie sana, na ndo maana hata fedha zinatumika pasipo mpangilio.
Kwa watu wanaopendana huwa wanapeana pesa pale mmojawapo anapokua na uhitaji LAKINI SIO SHERIA MWANAUME KUMPA PESA MDADA WKT MPO KWENYE MAPENZI BUBU.
Kuna wenye mapenzi ya dhat??? Paka microscope kuwapata....Kama ana mapenzi ya dhati hawezi kimbia na akikimbia muache aende zake
Haupo crias ndiyo maana hujawapata. kama unawachezea lazima na wewe wakuchezee. you do me i do you huo ndiyo mpango mzima. mimi siwezi nikakupenda kwa dhati wkt nakuona mtu mwenyewe magumashi tuuKuna wenye mapenzi ya dhat??? Paka microscope kuwapata....
Guuuud!!!!miss zomboko"""""Kama ana mapenzi ya dhati hawezi kimbia na akikimbia muache aende zake
Mna mapenzi ya dhati na pesa za mwanaume na si mwanaume mwenyewe.Kama ana mapenzi ya dhati hawezi kimbia na akikimbia muache aende zake
Acheni kuwapa pesa ovyo ndo utaoona upendo WA dhatiMna mapenzi ya dhati na pesa za mwanaume na si mwanaume mwenyewe.
Hahah pesa na mwanamke ni kama pande mbili za shilingi, kwenye thread yao mpya vitu wanavyochukizwa na wanaume namba moja ni ubahili😀😀.Acheni kuwapa pesa ovyo ndo utaoona upendo WA dhati