young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,120
- 713
labda ni wataniHabari za asubuhi wana JF,
Leo nimekutana na kituko cha mwaka katika hospitali yetu ya mkoa wa Mwanza Sekoutoure. Nilienda kumjulia hali jirani yangu amelazwa. Pembeni yake kulikuwa na bibi ambaye alikuwa anatapatapa katika kumalizia kukata roho.
Yule bibi akawa ana lalama kwa lugha ya huku kwetu ya kisukuma akisema MAAYOO MAAYOO yaani MAAMAA MAAMAA, hapo wodini kulikuwa na mabinti wawili ambao anao walikuja kwa minajili ya kumsalimia mgonjwa wao.
Wale mabinti wakawa wanacheka wanamuangalia yule bibi anayetapatapa kukata roho, nikawaauliza mbona mnamcheka bibi wa watu? wakanijibu tena kwa kujiamini kabisa: "INACHEKESHA YAANI HAKA KABIBI NAKO ETI KANAVYOKATA ROHO KANAMTAJA MAMA YAKE"
Baada ya muda mfupi bibi aliaga dunia.
Sikuwasemesha tena hao wadada, zaidi ya kuwashirikisha wana JF wenzangu kuwa duniani kuna vituko!
Inawezekana hivyo vibinti uchwara ndivyo vinavyomroga huyo bibi...ila wakumbuke nao siku yao yaja.Habari za asubuhi wana JF,
Leo nimekutana na kituko cha mwaka katika hospitali yetu ya mkoa wa Mwanza Sekoutoure. Nilienda kumjulia hali jirani yangu amelazwa. Pembeni yake kulikuwa na bibi ambaye alikuwa anatapatapa katika kumalizia kukata roho.
Yule bibi akawa ana lalama kwa lugha ya huku kwetu ya kisukuma akisema MAAYOO MAAYOO yaani MAAMAA MAAMAA, hapo wodini kulikuwa na mabinti wawili ambao anao walikuja kwa minajili ya kumsalimia mgonjwa wao.
Wale mabinti wakawa wanacheka wanamuangalia yule bibi anayetapatapa kukata roho, nikawaauliza mbona mnamcheka bibi wa watu? wakanijibu tena kwa kujiamini kabisa: "INACHEKESHA YAANI HAKA KABIBI NAKO ETI KANAVYOKATA ROHO KANAMTAJA MAMA YAKE"
Baada ya muda mfupi bibi aliaga dunia.
Sikuwasemesha tena hao wadada, zaidi ya kuwashirikisha wana JF wenzangu kuwa duniani kuna vituko!
ndio, ya mkoa wa MwanzaHivi Sekou Toure huwa ni hospitali?
Hahahahaha ninyi watu!!!!ivi ni kweli au unataka uandae script??
Ndugu,suala la kulia ktk utokaji wa roho ni la kawaida sana.Kwa nini alikuwa Analia?.Tujifunze kitu maana kuna wanaokufa taratiibu bila ya mizengwe na wanakufa kama huyu bibi.Mungu yupo na shetwani yupo pia. Endeleeni kumpinga Mungu huku mkimkaribisha shetwani . japo hawakupaswa kumcheka katu Bali kumuombea.
Si zahanati? Mbona haifanani na hospitali? Mbona case ndogo ndogo wanazipa referral to Bugando?ndio, ya mkoa wa Mwanza
Si zahanati? Mbona haifanani na hospitali? Mbona case ndogo ndogo wanazipa referral to Bugando?
wahaya ni MAAWEEmaaayo ni kisukuma au kihaya?
Haharohozaoo zishakatwaawatachekwa siku na wao wakikata roho mkuu... duniani huwez kuondoka ukiwa na deni la kijinga kama hilo huliwa tu hapa hapa
Hapo hukuwa unakufa ulikuwa uzembe wako tu. Vipi ushuzy hukukutoka?.Ndugu,suala la kulia ktk utokaji wa roho ni la kawaida sana.
Mfano kuna siku nililala bahati mbaya chakula kikaingia ktk mfumo wa hewa havari yake sio ya kitoto ndugu masna pumzi zilikata kwa sekunde chache!
Nikavuta picha je roho ikiwa inatoka si ndio balas zaidi